GHARAMA YA KUJILINGANISHA NA WENGINE
GHARAMA YA KUJILINGANISHA NA WENGINE Don't compare yourself with someone else!!! ....unapoteza kusudi lako ....Unapoteza upekee wako ....Unapoteza uwezo wako ....Hautafanya kwa viwango ulivyotakiwa. ....Hautakuwa na matokeo makubwa ....Huwezi kuwa mkuu kwenye eneo lako kwa kuwa photocopy ya mtu mwingine .....Unapoteza rasilimali zilizoandaliwa kutimiza kusudi lako. ...God's provisions, alizoandaa Mungu kwa ajili yako..God will never fund something else out of his purpose Mungu huwa hatoi rasilimali bure..huwa anatoa rasilimali kwa ajili ya kukamilisha kusudi lake. Unaweza kujifunza kwa wengine wanaofanya vizuri ili uwe bora Huwezi kuwa bora kwa kuiga bali kwa kujifunza... Kila mtu anao upekee wake unaomfanya yeye awe bora Ndani yako Kuna upekee wako wa kukufanya bora...kwa kujifunza unaendelea kuchonga ubora unaoutaka. Jipime wewe kama wewe,jipime wewe kama unafanya inav...